Mipira hii ina material imara sana, haipasuki labda mtoto aamue kuitoboa kwa ncha kali. Inafaa kwa watoto kuanzia miaka mitano hadi watu wazima, inafaa kwa mazoezi na kutengeneza bond kwa familia hasa kwa ucheza pamoja.
Kama una Account